SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mashabiki Wameshindwa Kuvumilia Wig La Diva The Bawse
Urembo

Mashabiki Wameshindwa Kuvumilia Wig La Diva The Bawse 

One thing kuhusu mashabiki na hasa wa-Tanzania watakupa ukweli wako upende usipende,hivi karibuni mwanadada mwenye sauti yake nzuri mjini Diva The Bawse ameonekana kuwa analaumiwa na mashabiki wake kutokana na wig analolivaa.

Mashabiki wamekuwa wakimsema aliyemuuzia kwamba amemkomoa lakini wengine kuwa wakweli kabisa na kusema wig hilo ni baya.

Kwa kumshauri tu Diva kuwa Ubora ni bora zaidi kuliko wingi, kuwa na Wigs chache zenye ubora kuliko nyingi zisizo na ubora na hii kanuni hutumiwa hata na watu maarufu wa nje, Unaweza kuwa na wig moja au mbili ambayo unaweza kuweka mawimbi, kubadilisha rangi utakayo na ukaonekana unayo mengi kumbe ni siri yako. Well soma hapa chini kujifunza zaidi

Jacqueline Mengi Ni Mfano Mzuri Wa Kwanini Uwekeze Katika Nywele Bora

Related posts

3 Comments

  1. 8 mushrooms powder

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/mashabiki-wameshindwa-kuvumilia-wig-la-diva-the-bawse/ […]

  2. how to get quaaludes

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/mashabiki-wameshindwa-kuvumilia-wig-la-diva-the-bawse/ […]

  3. Changa DMT For Sale Brisbane

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/mashabiki-wameshindwa-kuvumilia-wig-la-diva-the-bawse/ […]

Comments are closed.