SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MATUMIZI MENGINE YA MAFUTA YA NAZI
Urembo

MATUMIZI MENGINE YA MAFUTA YA NAZI 

Kuna matumizi zaidi ya mia moja ya mafuta ya nazi lakini leo tunawaletea matumizi machache tu yanayo uhusiana na mafuta ya nazi, wengi wetu tunayo na tunatumia kama mafuta ya nywele au mafuta ya mwili pasipo kujua kuna matumizi mengine ambayo nayo yanasaidia kuimarisha urembo wetu.

Kungarisha meno

unaweza kutumia mafuta ya nazi ukachanganya na banking powder na kutumia kama dawa ya mswaki kung’arisha meno yakawa meupe sana, na kuondokana na meno mabaya ya njano.

lip balm

unaweza kutumia mafuta ya nazi kama lip balm kuna wale tusio kuwa na uwezo wa kununua lip balm, na wale ambao lip balm tuna allege nazo labda midomo ina babuka au vinginevyo una weza kutumia mafuta ya nazi kama lip balm bila madhara yoyote

Coconut-Oil-BellaNaija-November-2015

mafuta ya kunyolea

unaweza kutumia mafuta ya nazi kunyolea miguu, chukua mafuta pakaza kwenye miguu kisha nyoa vinyweleo vyako vya miguu itakupa muonekano smooth na pia kiwembe hakito kwama kwama.

kuondolea make up

ni vizuri ukaondoa make up yote kabla ya kulala, paka mafuta ya nazi kidogo kwenye pamba kisha futa make up kama machoni au usoni.

 

Related posts

5 Comments

 1. wonka edibles

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/matumizi-mengine-ya-mafuta-ya-nazi/ […]

 2. buddah bear

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/matumizi-mengine-ya-mafuta-ya-nazi/ […]

 3. i was reading this

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/matumizi-mengine-ya-mafuta-ya-nazi/ […]

 4. have a peek at this website

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/matumizi-mengine-ya-mafuta-ya-nazi/ […]

 5. Buy tikka rifles

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/matumizi-mengine-ya-mafuta-ya-nazi/ […]

Leave a Reply