SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MATUMIZI YA LIMAO KATIKA UREMBO
Urembo

MATUMIZI YA LIMAO KATIKA UREMBO 

Limao linajulikana kama kiungo cha jikoni lakini pia limao linaweza kusimama kama kipodozi katika urembo. Limao lina kazi mbali mbali pia huleta matokeo mazuri kama likitumiwa ipasavyo. Baadhi ya kazi hizo ni,

KUONDOA WEUSI MAKWAPANI:Limao linaweza kuondoka weusi katika makwapa kwa kuchanganya limao, asali na oats (si lazima), paka na kaa nayo kwa muda wa lisaa limoja kisha unaweza kutoa, Hii usaidia pia kwa wale wenye kutokwa na harufu mbaya kwapani.

Lemon

LIMAO HUTUMIKA KAMA KINGA KATIKA NGOZI: Kwa wale wenye ngozi za mafuta limao linaweza kufanya ngozi yako iwe kavu kwa muda na pia huondoa chunusi, Paka maji maji ya limao na kaa nayo kwa muda wa dakika 10 kisha ondoa. Kila siku mpaka utakapo pata matokeo uliyo ridhika nayo, Pia huondoa weusi na chunusi katika ngozi.

skin-care-lemon_650x400_41450874600

 KUNG’ARISHA NA KUFANYA KUCHA ZIWE NGUMU:Ni rahisi chukua maji ya limao changanya na olive oil kisha paka kwenye kucha zako hii itafanya kucha zako kung’aa na kuwa ngumu.

embedded_nail_lemon_soak

KUNG’ARISHA NYWELE:Kama unapenda nywele zako zing’ae basi paka maji ya limao kisha zikaushe, zitang’aa kuliko zilivyo kuwa mwanzo ili kupata matokeo mazuri fanya hivi mara moja kwa week.

728px-Lighten-the-Colour-of-Your-Hair-Step-3

Related posts

5 Comments

 1. mario green mushroom

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/matumizi-ya-limao-katika-urembo/ […]

 2. Where to buy DMT New South Wales

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/matumizi-ya-limao-katika-urembo/ […]

 3. anonymous

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/matumizi-ya-limao-katika-urembo/ […]

 4. Burma Mushrooms store online

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/matumizi-ya-limao-katika-urembo/ […]

 5. 뉴토끼

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/matumizi-ya-limao-katika-urembo/ […]

Leave a Reply