SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Matumizi Ya Tangawizi Katika Ukuaji Wa Nywele
Hair

Matumizi Ya Tangawizi Katika Ukuaji Wa Nywele 

Kwa warembo wote wanaopenda nywele nzuri na za kupendeza ,je wajua kua Tangawiz ni nzuri sana kwa nywele yako?

Tangawiz ni nzuri kwakua is very rich in minerals na pia ina essential oils kwa ajili ya kuifanya nywele yako iwe soft na rahis kuitunza

Kwa wale wote wanaosumbuliwa na mba na miwasho tangawiz ni dawa nzuri kwa kulinda ngozi yako kwakua ina natural ant fungal, anti-septic na pia anti-inflammatory inazuia magonjwa yoyote yale ambayo yanaweza kushambulia ngozi yako .

Hii ni natural steaming ambayo nywele yako inahitaji ili iwe na nzuri naya kupendeza kama wewe umekua ukisumbuliwa na mba kwa mda mrefu jaribu hii na utapata matokeo mazur sana na utaipenda.

Namna ya kuandaa steaming yako ya tangawiz.

 • Toa maganda ya juu.
 • Iponde halafu kamua maji yake .
 • Hayo maji yake unaweza kumix na asali au avocado ,aloe vera etc
 • Tangawiz isiwe nyingi kidogo tu.
 • Baada ya hapo unapaka kuanzia chini kupanda juu na massage ngozi yako
 • Halaf funika kwa lisaa limoja.
 • Baada ya hapo osha na maji mengi.

Baada ya kuosha utapaka leave in conditioner then na kupaka juu . Unaweza kua unapaka hii steaming mara kwa mara kwa ajili ya nywele yako na utaipenda

By @letsgonatural

Related posts

4 Comments

 1. ecstasy drug bill,

  … [Trackback]

  […] Here you will find 41032 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/matumizi-ya-tangawizi-katika-ukuaji-wa-nywele/ […]

 2. ama crystal cabinets,

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/matumizi-ya-tangawizi-katika-ukuaji-wa-nywele/ […]

 3. ufa

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/matumizi-ya-tangawizi-katika-ukuaji-wa-nywele/ […]

 4. same day delivery weed toronto

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/matumizi-ya-tangawizi-katika-ukuaji-wa-nywele/ […]

Comments are closed.