SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MATUNZO YA RASTA
Hair

MATUNZO YA RASTA 

Kusuka rasta ni kuzuri sana na kunapendezesha mno, lakini pia usipo zijali zina kata sana nywele hasa za mbele, fanya yafuatayo ili kulinda rasta zako na pia nywele,

Siku moja kabla ya kusuka fanyia steaming nywele zako unaweza kufanya hizi hata ukiwa umesukia rasta na pia baada ya kuzifumua hii itasaidia nywele kuto kukatika.

ladies_at_hair_salon

JINSI YA KUZITUNZA RASTA

 • Kama rasta zilisukwa zimekazwa sana basi fanyia massage nywele zako kwa maji ya uvuguvugu na paka mafuta chini ya nywele kingo za msuko mara kwa mara hadi siku saba hii itasaidia kulainisha nywele pia kuwezesha nywele kuto kukatika.
 • Hakikisha ngozi ya kichwa inakuwa safi na umepaka mafuta kusaidia nywele kuto kukatika.
 • Vaa kofia ya satin wakati wa kulala, hii ina saidia rasta kuto kufumuka haraka na kuzuia uchafu kuingia katika rasta zako
 • Epuka mafuta yasiyo ya asili, paka mafuta ya asili kama mafuta ya nazi husaidia kufanya nywele zako zisikatike na kung’aza rasta
 • Epuka kuvuta rasta sana wakati wa kuzi staili rasta zako itasaidia nywele kuto kukatika na pia kufanya rasta zisifumuke haraka.
 • Osha rasta zako kila baada ya wiki mbili.

 

Related posts

3 Comments

 1. marijuana withdrawal symptoms

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/matunzo-ya-rasta/ […]

 2. rich89bet

  … [Trackback]

  […] There you can find 46555 additional Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/matunzo-ya-rasta/ […]

 3. Ufa191 บาคาร่า

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/matunzo-ya-rasta/ […]

Leave a Reply