SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Maua Sama Gone Blonde
Hair

Maua Sama Gone Blonde 

Maua Sama ni moja kati ya wanamuziki ambao tunaweza kusema wanafanya Fashion Evolution, Maua wa sasa si yule wa zamani, she changing her looks more often lakini pia anatoka kwenye comfort zone yake, Zamani ulikuwa ukitajiwa maua kinacho kujia kichwani ni her signature look ya wave weaving ndefu nyeusi na skin jeans akitoka nje ya hapo ni short pants.

Lakini ni tofauti na sasa she is rocking every thing from a sweet Maua to Gaga kama mnakumbuka show ya fiesta tulipenda outfits zake lakini hasa ni ile ya mwisho ambayo ilikuwa most daring. Lakini pia triple denim styled by Joujou Nyaki was everything. Sasa hivi Maua amechange her hair and all we can say is Amen, maana those black wigs zilishazoelewa tayari.

Katika new photo shoot yake Maua amevaa two pieces white outfit, ambapo amevaa crop top nyeupe na a min skirt, amemaliza muonekano wake na pink pumps na hoop earrings, lakini tulicho notice hasa ni hii short blonde weaving yake, imempa muonekano mpya.

She looks different na yule Maua tuliyo mzoea sura imechangamka na she looks sassy. Tumependa that ana jaribu kugusa sehemu mbalimbali katika fashion na urembo.

Do let us know Je she slayed this blonde weave au she played it?

Related posts

6 Comments

 1. review

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/maua-sama-gone-blonde/ […]

 2. Resources

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/maua-sama-gone-blonde/ […]

 3. Vape carts

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/maua-sama-gone-blonde/ […]

 4. meditation music

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/maua-sama-gone-blonde/ […]

 5. trap music mix

  trap music mix

  trap music mix

 6. nature sounds

  nature sounds

  nature sounds

Comments are closed.