SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MAYONNAISE KWA AJILI YA NYWELE KAVU
Hair

MAYONNAISE KWA AJILI YA NYWELE KAVU 

Wengi hupenda kuitumia kwenye chips, salad au snacks za hapa na pale lakini kumbe mayonnaise ina faida kubwa sana kwenye nywele hasa zile kavu (zinaweza kuwa natural hair au relaxed) una weza kupaka wakati nywele ni kavu au zikiwa zime loa ila ili kupata matokeo mazuri ni nzuri kwa nywele kavu mfano: unataka kuziosha kwa sababu ni chafu paka kwanza mayonnaise kabla ya kuosha.

906d0fe8bd4a2996105d28f61c06cb3e

Faida za mayonnaise

-ina kila kiungo ambacho kina faa kwa ajili ya nywele kama mayai,vinegar,mafuta etc.

-Vinegar iliyopo katika mayonnaise itasaidia kusafisha ngozi ya kichwa na ku restore ph balance

-mafuta yatasaidia ku- mosturize nywele zako na kuzipa mng’aro na kuzifanya ziwe soft

Namna ya kufanya

ni rahisi chukua mayonise yako ya kutosha weka katika bakuli, kisha anza kupaka kichwani. Funga na mfuko kaa nayo kwa masaa manne na zaidi kisha osha. una weza kufanya hivi mara mbili kwa mwezi yaani mara moja kila baada ya week mbili

 

Related posts