Ukosefu wa mazoezi ya viungo vya mwili husababisha kusinyaa kwa sura na kupatawa na  matatizo mara kwa mara Yoga inaboresha sura na kuipa akili yako hali utulivu.
987128-face-yoga

Yoga – ni uhusiano wa kimwili na kiroho kwa hatua ambayo hutatua  matatizo mara moja tu, wengi hudhani Yoga ni mchezo tu lakini lakini si kweli ukimuuliza mtu yoyote ambae ana pata muda mrefu wa kufanya mazoezi ya Yoga ata kwambia huu si mchezo. Mazoezi ya Yoga ni ya kipekee katika mwili,misuli, roho na akili kwa kuwa vyote vitapata kupumzika na kupata utulivu.

Yoga kuharakisha mzunguko wa damu, athari ambazo zitaathiri mwili mzima:

1) Kuimarisha wa mishipa ya damu.

2) Mafunzo ya mfumo musculoskeletal.

3) Uboreshaji wa mfumo wa kujiendesha.

Exercise-your-facial-muscles-2

Faida za yoga usoni

Kupumzika kwa mwili, akili na ubongo huweza kusababisha kuondoa mikunjo katika uso na mwili wako

Inaondoa Mvutano wa uso

Inakuza uzalishaji wa  collagen na kukupa muonekano wa mzuri wa kijana zaidi

Ni rahisi kuliko mafuta tunayo nunua dukani