SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Minimalist Accessories To Elevate Your Outfit
Urembo

Minimalist Accessories To Elevate Your Outfit 

Gone are the days that you have to wear many accessories to upgrade your outfit, sasa hivi mambo ni kidogo tu but sure. Dunia imetoka kwenye fashion ya mambo mengi na sasa hivi kila mtu kaingia kwenye ulimwengu wa minimalist.

Minimalist fashion hufafanuliwa na kanuni moja kuu: vazi linakuwa simple,Streamlined shapes, a small selection of colors and even a bare minimum (gasp!) amount of clothing in your closet. Simplicity is the key to pinpointing this style. This is a class for another day.

Leo tuongelee kuhusu accessories ambazo sio tu minimalist anaweza kutumia bali mtu wa style yoyote na akapendeza. Kama wewe ni mfuatiliaji wa fashion utagundua kwa sasa kila fashionista anavaa vitu simple akiongezea na accessories ndogondogo kunogesha muonekano wake. Kama Mikufu, vikuku, pete, bangili, hereni etc.

Kwetu sisi tunapenda style hii unaonekana msafi na fashionable lets its a classy trend ambayo inaweza kukaa miaka mingi.

Related posts