SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Misuko Ya Rasta Kutoka kwa Vanessa Padi
Urembo

Misuko Ya Rasta Kutoka kwa Vanessa Padi 

Kusuka rasta huwa kunatu-save sana wadada, ukisukwa rasta vizuri unaweza kukaanazo muda mrefu unachotakiwa kufanya ni kuzijali, kuziweka ziwesafi na kubadilisha style mara kwa mara. Lakini kuna struggle ambayo wengi tunapitia nayo ni kujua mtindo/msuko gani wa rasta usuke. Leo tunakuletea mitindo michache tuliyoiona kwa fashionista Vanessa Padi kutoka South Africa,

Tumeona hizi styles tatu ambazo zimple simple na classic, unaweza kuvalia chochote na kwenda nazo popote ni vile tu utakavyo zi-style.

Related posts

2 Comments

  1. HK Firearms For Sale

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/misuko-ya-rasta-kutoka-kwa-vanessa-padi/ […]

  2. brainsclub

    … [Trackback]

    […] Here you can find 71321 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/misuko-ya-rasta-kutoka-kwa-vanessa-padi/ […]

Comments are closed.