SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo Mizuri ya Nywele Kwa Ajili ya Valentine’s Day
Hair

Mitindo Mizuri ya Nywele Kwa Ajili ya Valentine’s Day 

We are few days away from Valentine’s day and we all know siku hii ya wapendanao tunapenda kupendeza kwa ajili ya wapenzi wetu, well leo tunakuletea quick fix ya mitindo ya nywele mizuri ambayo unaweza kusukia au kushonea kwa ajili ya siku hii maalum.

Dinner Date

Kama una dinner date na mwenza wako style hii ya wave weave hair style mtindo huu unakuja vilivyo ukitumia Darling waves unafaa sana na upo classy lakini pia una compliment aina ya uso wa kila aina, ongezea makeup na vazi zuri la usiku  your ready to slay the day.


Music Dancing Date

Kwa wale ambao wanapenda muziki kama ni live band  basi style hii ya msuko ni nzuri kwa ajili ya usiku huo, as we all know ukiwa unaenda kucheza kupendi bugdha bana rasta vyako vyema kama ambavyo tunaona hapo chini, ongezea makeup nzuri malizia na accessories na outfit kali then go break a leg. Unaweza kusukia msuko huu kwa kutumia bunda tatu mpaka nne za rasta za Darling.

 

Movie Night

Movie lovers where you at? movie date huwa hainaga kujiremba sana suka box braids zako nzuri unaweza kutumia bunda nne hadi tano za Darling Hair kupata muonekano huu wa kipekee, bana mtindo wako vyema kabisa, paka simple makeup and malizia na mtoko wako unaoendana na date yako, go and enjoy the night.

Ni matumaini yetu tumekupa idea za nywele gani uweke katika siku hii ya valentines day. Kama kuna mtindo mwingine ambao utawapendeza mates, usisite kucomment hapo chini ili wengine pia wajifunze kutoka kwako.

Related posts

3 Comments

  1. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/mitindo-mizuri-ya-nywele-kwa-ajili-ya-valentines-day/ […]

  2. 늑대닷컴

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/mitindo-mizuri-ya-nywele-kwa-ajili-ya-valentines-day/ […]

  3. https://www.buoyhealth.com/blog/health/phenq-reviews

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/mitindo-mizuri-ya-nywele-kwa-ajili-ya-valentines-day/ […]

Comments are closed.