SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MITINDO YA NYWELE KUTOKA KWA WATU MBALI MBALI
Hair

MITINDO YA NYWELE KUTOKA KWA WATU MBALI MBALI 

Pita pita zetu zime tufikisha kwenye mitindo ya nywele kutoka kwa baadhi ya watu ambao wameweka staili za nywele mpya kuna ambao wame pendeza na ambao kidogo hatuna uhakika nao,

cornrow au minyoosho bado ina make trend tunawaona watu ma Fashionista kama Khloe Kardashia, Grace Malikita na Irene Uwoya wakiwa wame suka style hio.

 

10507823_1013296752069548_119135394_n

Khloe Kardashian12798067_1851335615093265_986271833_n

Grace Malikita

Elizabeth Michael yeye kasukia short weaving bob style blonde amependeza na style hii unaweza kuiga pia

12530830_752639694871284_198116026_n

ambazo hatuja zielewa ni kutoka kwa mwanamuziki augustina pamoja na chriss brown

12424643_1731810870371372_186407964_n

Chris brown kasuka zig zag kiduku mmh

12531115_1709101209369466_1213379694_n

Augustina nae ameweka mickey mouse chinese styletupe maoni yako unaonaje style zao

Related posts

Leave a Reply