Janelle Monae ni mwanamuziki kutoka Nchi za Nje ambae kwa sisi watu wa fashion humuita “queen of rocking natural hair”, Janelle ni moja kati ya watu maarufu wachache wanao penda kuvaa nywele zao za asili popote, na stylist wa nywele zake humpatia mno.
kama wewe ni naturists una weza kuiga style kutoka kwake
frontal bun
hapa aliongezea rasta kufanya style hii
frontal sided bun hapa bia aliongezea rasta
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/mitindo-ya-nywele-kwa-naturists-kutoka-kwa-janelle-monae/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 18572 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/mitindo-ya-nywele-kwa-naturists-kutoka-kwa-janelle-monae/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/mitindo-ya-nywele-kwa-naturists-kutoka-kwa-janelle-monae/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/mitindo-ya-nywele-kwa-naturists-kutoka-kwa-janelle-monae/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 15555 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/mitindo-ya-nywele-kwa-naturists-kutoka-kwa-janelle-monae/ […]