SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo Ya Nywele Unayoweza Kujaribu Week Hii
Hair

Mitindo Ya Nywele Unayoweza Kujaribu Week Hii 

New Week, New hair, tumeanza week ya kwanza ya March na tumeona tuwaletee mitindo ya nywele ambayo unaweza kujaribu week hii. Mitindo hii ya nywele ni ile ambayo tumeona ina trend na ni mizuri kwa ninyi mates wetu kusukia.

Vitunguu

Vitunguu huwa vinampendeza kila mtu viwe vifupi au virefu, kizuri kuhusu style hii ya nywele ni kwamba unaweza kubadilisha styles nyingi uwezavyo unaweza kupasua kati, kuweka upande, kufunga kidoti nakadhalika. Unaweza kupata hii hair style kwa kutumia rasta za @darling kuna fupi na ndefu lakini pia rangi mbalimbali ni wewe na mapenzi yako uchague rangi ipi.

The Fro au Afro

Kama wewe ni mpenzi wa natural look basi hii hair style inakufaa, we are not going to lie hii nywele ni nzuri hasa kama utaweka ujazo wa kutosha, pia inakufanya uonekane ki – asili zaidi, unaweza kutumia soft kinky braids kutoka kwa @darling kupata muonekano huu.

Flufy kinkyย 

Kama kuna nywele ambayo unaweza kucheza nayo mara nyingi na kupata mionekano tofauti ni hii, unaweza kusuka kama crochet braid, Unaweza kufanya single or twist na kumalizia na kuweka maji ya moto kupata muonekano huu, unaweza kupata hizi nywele kutoka kwa @darling hair na zinaitwa hivyohivyo Flufy Kinky

Cubic twistย 

Kama wewe ni mpenzi wa nywele ambazo huonekana kama weaving basi hizi ni chaguo zuti kwako, lakini pia unaweza kuzisuka kawaida au kufanya kama crochet braids chaguo ni lako na zinapatikana @darling

Well afromates ni matumaini yetu umepata style ambayo inakufaa kati ya hizi ambazo tumeziweka hapo juu kama ukisukia usisite kututag katika account zetu za mitandao ya kijamii,.

Related posts