Ukistaajabu ya Gigy Money utayaona ya Msanii Alexander Bagonza A.K.A Apass kutoka Uganda ambae yeye alipost huu muonekano wake mpya wa nywele na caption aliyoandika “How do I look with this 3.5 million hair cut ✂️ ??? Be positive I spent a lot of money 😂😂😂 #Twookya Cc @hairbyzziwa @barber_chris553” , well milioni 3,500,000/ za Uganda ni sawa na Milioni 2,210,006.34/- za ki-Tanzania.

Okay tumezoea kuona wanawake wakitumia pesa nyingi kwenye urembo kuna nywele zinauzwa mpaka milioni tatu n.k, kwa wanaume wao huwa rahisi kidogo wao hunyoa na kubadilisha tu rangi nywele, na hata wakisuka hawasukii nywle ghali, hii ya msanii huyu ime tushtua kidogo kutumia zaidi ya milioni mbili kwa kuwekwa bleach na kunyolewa it had us wonder je bleach waliyoiweka ni ya kumfanya awe blonde milele au?

Well afro mates let us know your opinion on his look, ina deserve kulipiwa zaidi ya milioni mbili?