SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mtindo Wa Rasta Unaotrend Kwa Sasa
Hair

Mtindo Wa Rasta Unaotrend Kwa Sasa 

Mwaka jana tuliona Beyonce ame trendisha hizi braids hair styles ambapo watu wakazipa jina la formation tour braids, well mwaka huu tumemuona Lupita Nyongo akiwa amesukia hii style ya rasta ambapo tumeona fashionista’s wengi wamekuwa obsessed nayo. Lupita akiwa amepamba gazeti la Allure mwaka huu alisukia braids ambazo zina bang kwa mbele, katika gazeti hili Lupita aliongelea kuhusu mambo mengi ikiwepo siasa na kuhusu kukataa kueditiwa nywele zake.

Katika kurasa ya mbele ya gazeti hili Lupita ameonekana akiwa amesukia rasta za vitunguu ambazo mbele fupi nyuma ndefu (bang har style) na akiwa ameongezewa urembo wa beads, beads braids zimekuwa zikitrend toka mwaka jana lakini Lupita yeye ameweka utofauti kwa kuongezea tu hio bang mbele, Kwa Lupita she is always about african culture linapo kuja katika swala la nywele zake, juzi tuliona alivyo tumia hair style la kabila la amasunzu kutoka Rwanda katika Tuzo za Oscar, lakini pia ana natural hair ambazo hajatia dawa na hapendi kuzificha na wig’s au weaving.

Well baada ya kumuona Lupita tumeona watu maarufu, fashionista’s na fashion bloggers wengine wakiwa wamesukia mtindo huu wa nywele, well ukisukia hizi braids na kuweka hizo baids zinakupa a strong character ya African Women.

YouTuber & Fashionista Lerato Nobuntu Sengadi au @leratolicious1 ameonekana akiwa ame sukia hair style hii pia, yeye amejaribu kuwa toauti kidogo kwa kuongezea braids za kilimanjaro katikati.

Mbunifu @adamparis na yeye ameonekana kuvutiwa na style hii amesukia rasta zake na kuongeza urembo wa beads mbalimbali za plastic na mbao, zimeleta muonekano mzuri sana, next time unataka kusuka kumbuka kuwa wa tofauti kwa kuongezea urembo wa nywele 

Mwanamuziki Yemi Alade kutoka Nigeria nae ameonekana kuto kupitwa na hii style ya rasta, tumependa hii hair style na tunategemea kuiona mwaka huu kwa kuwa imeanza na kiki mno, well kwa sababu tulimuona Lupita kaanza should we call this Lupita Braids? Do let us know maoni yako katika box la maoni.

Related posts

4 Comments

  1. best way to make passive income

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/mtindo-wa-rasta-unaotrend-kwa-sasa/ […]

  2. Side hustle

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/mtindo-wa-rasta-unaotrend-kwa-sasa/ […]

  3. fernsehgrößen

    … [Trackback]

    […] Here you can find 6660 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/mtindo-wa-rasta-unaotrend-kwa-sasa/ […]

  4. Medicijnen bestellen zonder recept bij Benu apotheek vervanger gevestigd in Almere

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/mtindo-wa-rasta-unaotrend-kwa-sasa/ […]

Comments are closed.