SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mwanamuziki Halsey Anatumia Maziwa Ya Kunyonyesha Kama Skin Care
Urembo

Mwanamuziki Halsey Anatumia Maziwa Ya Kunyonyesha Kama Skin Care 

Mwanamuziki kutoka America, Halsey amefanya mahojiano na gazeti la Nylon magazine na katika mahojiano yao hayo, Halsey amesema amegundua kwamba maziwa ya mama (ya kunyonyesha) ni best skincare ingredient.

Halsey amesema toka ajifungue mwanae mwaka 2021, skin care routine yake imebadilika “I’ve always been really conscious about what goes on my skin, but when your baby is kissing you or snuggled up against you, you become hyper-cognizant of what’s on your face,” they told¬†Nylon.¬†“I love the Biologique Repecharge’s colostrum VG serum, which I got into when I first had my son.

Lakini pia aliongeza kwa kusema “I started breastfeeding, and I figured out that breast milk is the best skincare ingredient ever because it’s so full of antioxidants and good fats and stuff that speed up the healing process,”

Lakini tukataka kujiridhisha je ni kweli Maziwa ya mama yanaweka kutumika kama skincare? To our surprise tulikutana na maandiko mbalimbali yakisema inawezekana na yanafaida nyingi katika ngozi “In fact, studies show that breast milk’s powerful immunological properties are effective in the treatment of many skin and soft tissue conditions such as diaper rash; eczema; acne; and umbilical cord separation, as well as sore, dry, or cracked nipples; pink eye; nasal congestion; and minor scrapes, burns, and other superficial skin wounds.”

Well tuambie ulikuwa unajua hili swala? Na je kama umetumia matokeo yake yapoje?

Related posts