SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NAIL COLOR ZINAZO TREND KWA SASA
Urembo

NAIL COLOR ZINAZO TREND KWA SASA 

Unajuaje hii ni trend? ni baada ya kuona watu wengi wakifanya ila hasa wale ma fashionista, stylist na fashionable hapo ndio unapo jua hiki kitu kipo kwenye chat kwa sasa. Ume pita muda mrefu hatuja ongelea kuhusu kucha lakini tume notice kuna aina za rangi za kucha zinazo trend kwa sasa na watu maarufu wengi wame paka

Holographic nails – rangi hii ya kucha ina kua na mng’ao flani kama upinde wa jua, na huwaka pale kucha zinapo pigwa na mwanga hii tumeiona kwa wasanii wengi ila hizi karibuni tume muona mke wa Kevin Hart akiwa ame ipaka kwenye harusi yake

eniko-hart-holographic-nails

Eniko Parish

2. Ombre nails – kama ambavyo ombre lipstick inavyo trend basi na kwenye kucha ni hivo hivo, ombre nails ni zile kucha zina pakwa rangi kuanzia mbili kwenda mbele zenye jamii moja au tofauti yaani rangi za kufifia na zinazo ng’aa

Rita-ora-ombre-nails

3. 3D charms – hapa ni kuongezea urembo kama chain na pearls katika kucha ili kupata muonekano tofauti, ni kitu ambacho kipo kwenye trend sana kwa sasa ina kupa ile cute girly look

rihanna-nails

4.Nude nails – Nude is a new black, ina endana na kila kitu kuanzia rangi za nguo hadi rangi za mwili

selena-gomez

Related posts

Leave a Reply