Hatujui kama mlikuwa mnajua lakini kupaka rangi za kucha nayo ni sanaa ambayo sio kila mtu anaijua japo ukijaribu kujifunza unaweza kujua pia ni kazi ambayo ime ajiri vijana wa kiume na kina mama wengi mijini, una weza kuwakuta hawa vijana stand za ma bus kama mwenge au kwenye salon lakini pia huwa wana tembea mtaa kwa mtaa kutafuta wateja.
Kama una weza kujipaka mwenyewe una weza kujaribu lakini pia una weza ku download picha kutoka kwetu na ukamuonyesha mpakaji rangu kucha wako hizi cute nail polish tunazo kuonyesha hapo chini
French nail ni kama jeans zipo tu zina badilika aina tu mara skin,mara wide legs wengi tume zoea ile french ya rangi moja juu hasa nyeupe kuwa watofauti kwa kujaribu hii french mix
clear nails ikiwa ime ongezewa na artfully placed touches of gold.
Heavy metal kama ni mpenzi wa kucha utakuwa una jua kwa sasa metallic nails zina trend ili kuwa tofauti na wengine una weza kufanya kama dada hapo chini
Color blocking hii ni our favorite maana kuna ile color blocking ya rangi tofauti tofauti kila kidole mmmh no no no we are so done with it.
kama utajaribu any of those ideas piga picha na tutag kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
17 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/nail-polish-art-ideas-rangi-za-kucha/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/nail-polish-art-ideas-rangi-za-kucha/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/nail-polish-art-ideas-rangi-za-kucha/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/nail-polish-art-ideas-rangi-za-kucha/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/nail-polish-art-ideas-rangi-za-kucha/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/nail-polish-art-ideas-rangi-za-kucha/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/nail-polish-art-ideas-rangi-za-kucha/ […]
coffee shop ambience
coffee shop ambience
smooth jazz
smooth jazz
study music
study music
best gangster rap 2023
best gangster rap 2023
meditation music
meditation music
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/nail-polish-art-ideas-rangi-za-kucha/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 14017 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/nail-polish-art-ideas-rangi-za-kucha/ […]
surf music cafe
surf music cafe
jazz music meaning
jazz music meaning
water sounds
water sounds