SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna 3 Tofauti Unazoweza Kutumia Lipstick Nyekundu Ukiachana Na Kupaka Mdomoni
Make Up

Namna 3 Tofauti Unazoweza Kutumia Lipstick Nyekundu Ukiachana Na Kupaka Mdomoni 

Wazungu huwa wanaziita hacks, hizi ni namna ambavyo unaweza kutumia kitu kimoja mara nyingi tofauti tofauti, mfano mzuri ni hu tumezoea kuona au kutumia lipstick nyekundu kupaka katika midomo lakini kumbe unaweza kuitumia kwa namna nyingine pia  M Crowd Influencer Julia anauonyesha namna gani unaweza kutumia lipstick nyekundu katika urembo mwingine

  • Color Correcting 

Je! Unajua unaweza kutumia rangi ya midomo nyekundu kuondoa dark cycles chini ya macho? Ukipaka lipstick nyekundu kwenye dark cycles chini ya macho huficha kabisa dark cycles hizo na kufanya concealer  yako ifanye kazi vizuri katika kung’aza eneo hilo la chini ya macho, fanya hizi Dab lipstick nyekundu yako chini ya jicho kama ambavyo unavyo pakaga concealer kisha paka concealer yako kama kawaida na angalia jinsi ambavyo dark cycles zitapotea. 

  • Wing It Out!

Wakati mwingine unatamaki kupaka eye liney ya rangi nyingine na labda ungependa iwe rangi nyekundu well unaweza kutumia lipstick yako nyekundu kwa kupaka kama eye liner kwa kutumia liner brush.

  • Blush 

kuna ile rangi nyekundu huwa inapakwa kwenye mashavu, inaitwa blusher, tumia beauty blander au blusher brush paka lipstick yako katika brush hio na fuatisha vile unavyopaka kipindi unapaka blusher you will get the same results.

Unaweza kutazama video hapa chini

Related posts

1 Comment

  1. Jedi Mind Fuck Mushrooms,

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-3-tofauti-unazoweza-kutumia-lipstick-nyekundu-ukiachana-na-kupaka-mdomoni/ […]

Comments are closed.