SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Irene Kiwia Anavyo Show Off Mvi Zake
Urembo

Namna Irene Kiwia Anavyo Show Off Mvi Zake 

Irene Kiwia si jina geni sana kwa wale wapenzi wa mitindo na fashion, miaka kadhaa nyuma aliwahi kutikisa Nchini mwetu baada ya kunyakuwa taji la ‘Face of Africa’ lakini pia Kiwia, aliwahi pia kubeba taji la Miss Temeke mwaka 2000, ambapo mwaka huo alimaliza kwenye tatu bora ya Miss Tanzania

Irene kwasasa ana kampuni yake iitwayo Frontline Porter Novelli, well Irene ni moja kati ya warembo wanaosifika kwa kuwa bado in shape hata baada ya kuwa mama, moja kati ya vitu ambavyo vimetuvutia kutoka kwake hivi karibuni ni namna ambavyo ana show off mvi zake bila ya kujali kuonekana mzee.

Inajulikana namna ambavyo watu maarufu wanawekewa picha ya kuwa vijana wakati wote na kuficha zile flaws, lakini ni tofauti kwa Irene mara nyingi anapenda kuwa yeye ana rock nywele zake asilia tena zikiwa fupi na sasa akituonyesha kwamba ana mvi na yupo proud nazo well tunapenda kuona kwamba watu maarufu wanatuonyesha its okay kuzeeka ni sawa kuwa na flaws wote ni binadamu na ni process lazima tupitie

Week kadhaa nyuma tulimuona Jacqueline Ntuyabaliwe alivyotuonyesha stretch mark zake unaweza kusoma hapo chini na tupe maoni yako

Related posts