Tuki suka rasta wengi huwa tuna badilista mitindo tu kama juzi uli weka kidoti, basi kesho utaweka upande mmoja au uzisuke minyoosho, lakin kuna namna nyingi za kufanya rasta zako zionekane mpya kila siku. jaribu ku ongezea urembo ambao ni wa tofauti hii itakufanya uonekane wa tofauti hata kama mko wengi mme suka mtindo huo lakini wewe uta stand out.
ufanye mkufu wako kuwa clown katika rasta zako, mkufu una weza ukawa wa dhahabu au Almasi vyovyote.
jaribu kuweka pete katika rasta zako, haihitaji kuwa za bei ghali sana una weza kununua za bei rahisi nyingi uwezavyo na kufanya kama mdada hapo chini
pia kuna ile namna ambayo wengi wetu tunaijua ya kuweka hivi viurembo katika rasta
pia una weza kutengeneza urembo wako kama hujui pa kuupata, tazama video ya namna ya kutengeneza hopo chini
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-tatu-za-ku-accessorize-rasta/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-tatu-za-ku-accessorize-rasta/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-tatu-za-ku-accessorize-rasta/ […]