SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kujali Ngozi Yako Ukiwa Na Miaka 30
Urembo

Namna Ya Kujali Ngozi Yako Ukiwa Na Miaka 30 

Mchakato wa ngozi kuanza kuzeeka huanzia ukiwa na miaka 20, japo katika miaka hii huwa haitokei sana. Lakini tunapofikia kwenye miaka 30 kwenda mbele kunakuwa na mabadiliko makubwa kama cell turnover slows down na kufanya ngozi zetu kuwa rahisi kupata chunusi, hyperpigmentation, milia, & uneven texture. Ndio maana kwenye miaka hii ni vyema zaidi ukachukua muda wako kujali ngozi yako, vitu vichache ambavyo unaweza kufanya ni,

Skincare Regimen

Kuwa na utaratibu maalumu wa kujali ngozi yako, kuanzia unachokula, dawa unazokunywa, na kutumia vipodozi maalumu vinavyoendana na ngozi yako, hii itasaidia kufanya ngozi yako iendelee kuwa nzuri.

Sun Screen

Ni muhimu sana kipindi hiki kuwa na sun screen kama tulivyosema hapo juu, ngozi ikifika umri huu cell turnover zinaanza ku-slow down ni muhimu kuji-protect najua ili kuzuia kupata makunyanzi na ngozi kuharibika.

Umuhimu Wa Kupaka Sunscreen Katika Ngozi

Chakula

Angalia sana chakula unachokula, hakikisha unaepuka vyakula vyenye sukari nyingi ambavyo vinaweza kupelekea ngozi kuzeeka haraka, ngozi kukakamaa na kupunguza skin elastick.

Usingizi

Hakikisha unalala vya kutosha, kutokupata usingizi wa kutosha kunaweza kuzidisha kuonekana kwa aging signs na kupunguza skin elastic ambayo itapelekea kuzidi kuonekana kwa makunyanzi ya ngozi pamoja na uneven skin pigmentation.

Stress

Kutokana na study kadhaa inaonyesha stress zinaweza kusabisha chunusi lakini pia makunyanzi kwenye ngozi, ukiwa katika miaka hii pressure inakuwa kubwa kutokana na kuona umri umeenda labda na kuna vitu kadhaa hujakamilisha na kupelekea msongo wa mawazo, lakini inashauriwa upunguze stress as inaharibu ngozi yako.

Athari Za Msongo Wa Mawazo Katika Muonekano Wako

Related posts

5 Comments

  1. One up bar denver

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kujali-ngozi-yako-ukiwa-na-miaka-30/ […]

  2. พนันบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] There you will find 25975 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kujali-ngozi-yako-ukiwa-na-miaka-30/ […]

  3. penis prosthetic big penis big prosthetic big dildo erect penis prosthetic

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kujali-ngozi-yako-ukiwa-na-miaka-30/ […]

  4. 뉴토끼

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kujali-ngozi-yako-ukiwa-na-miaka-30/ […]

  5. Ecstasy

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kujali-ngozi-yako-ukiwa-na-miaka-30/ […]

Comments are closed.