SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kujali Nywele Kavu
Hair

Namna Ya Kujali Nywele Kavu 

Kila mmoja wetu anapenda kuwa na nywele laini, ndefu ambazo zinashine, tuna tumia fedha nyingi katika nywele lakini bado malalamiko hayaishi kuna wale wanao sema nywele zao hazikui, kuna wale wanaosema ngumu basi alimradi taflani, leo katika pitapita zetu tumekutana na hizi tips kutoka kwa @naturalhair_tanzania ambao wao wame specialize katika maswala ya nywele za asili.

1. Deep conditioning
Fanya deep conditioner atleast mara moja kwa wiki tumia moisturising deep conditioner. Deep Conditioner ni kama steaming, unapaka na kukaa nayo kwa muda fulani kisha unaosha.Inaweza kuwa ya kununua dukani yaani special au ukatengeneza mwenyewe nyumbani.

 

 

 

2. Co wash
Fanya conditioner wash kwa kutumia moisturising cleasing co wash na ufanye katikati ya week wakati nywele zako zinahitaji some extra TLC itasaidia kubalance moisture

3. Seal your ends
Nywele za juu huwa zinahitaji unyevu wa kutosha so ni lazima useal na heavy oil ili kufanya unyevu usipungue na kuzifanya ziwe kavu

4. LOC METHOD
Loc method ni njia nzuri ya kuipa nywele moisture ya kutosha , pakaa leave in kwenye nywele ulizospray maji , Oil then Cream to seal in the moisture..I personally dont use the loc method because my hair seems to like oil after the cream ….. Kuna njia nyingi za kupaka products … You have to figure out what works for your hair …

kwa ushauri zaidi unaweza kuwa whatsap  au karibu wanapatikana dar free market no 32.#loveyournaturalhair

 

Related posts

3 Comments

 1. hasheys medicated chocolate review

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kujali-nywele-kavu/ […]

 2. Ufa191

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kujali-nywele-kavu/ […]

 3. Side hustle

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kujali-nywele-kavu/ […]

Comments are closed.