SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kuondoa Chunusi Kwa Kutumia Manjano
Skin Care

Namna Ya Kuondoa Chunusi Kwa Kutumia Manjano 

Manjano ni njia ya asili kubwa ambayo inatumika katika kujali afya na urembo wa ngozi yako, inatumiwa kwa namna nyingi kusafisha ngozi lakini pia hutumika kuondolea vipele (chunusi) usoni, nani asiependa kuwa na ngozi nyororo? sote tunapenda kuwa na ngozi nyororo na kutokuwa na vipele katika nyuso zetu hii ni njia ambayo unaweza kutumia manjano kuondoa vipele usoni.

Mahitaji:

  • Organic apple cider vinegar / unaweza kutumia ndimu au limao pia.
  • Manjano
  • Asali
  • Maziwa

 

Namna Ya Kufanya.

  1. Safisha uso wako kwa kutumia maji, kisha chukua apple cider vinegar (ndimu au limao) paka kwenye uso wako kusafisha uchafu ulio bakia katika ngozi, subiri kwa muda wa dk tano na zaidi kabla ya kupakaa mask.
  2. Changanya asali na manjano kisha pakaa katika uso wako na iache kwa dakika 15-20, kisha osha kwa maji ya uvugu vugu, tunajua jinsi ambavyo manjono huwa yana bakigi usoni hapa ndipo unaweza kutumia maziwa yako.
  3. tumia cotton ball (pamba) weka kwenye maziwa kiasi kisha pitisha usoni kuliko na madoa ya manjano ili kuondoa madoa hayo.

Fanya hivi mara mbili kwa week na utaona matokeo baada ya muda.

 

Related posts

3 Comments

  1. video download in facebook

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondoa-chunusi-kwa-kutumia-manjano/ […]

  2. สล็อตเว็บตรงไม่มีขั้นต่ำ

    … [Trackback]

    […] There you can find 46830 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondoa-chunusi-kwa-kutumia-manjano/ […]

  3. mounjaro approved for weight loss​

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondoa-chunusi-kwa-kutumia-manjano/ […]

Comments are closed.