SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kuondoa Kucha Za Kubandika (fake nails) Mwenyewe
Urembo

Namna Ya Kuondoa Kucha Za Kubandika (fake nails) Mwenyewe 

Kwenda salon kubandikwa kucha ni rahisi sana kasheshe ni pale zinapo anza kuchoka na inabidi urudi tena salon kuzitoa, wengi huwa wanachagua kukaa nazo hivohivo nusu zipo nusu hazipo kisa tu uvivu au kuwa na mambo mengi na huna nafasi ya kwenda salon kuzitoa. Well unaweza kubandua au kuondoa kucha fake mwenyewe nyumbani

Mahitaji 

 • Acetone
 • Nail clippers
 • Nail buffer or file
 • pamba
 • Aluminum Foils
 • mafuta ya mgando

Namna ya Kufanya 

 • Kata kucha ziwe fupi
 • ondoa rangi kwa kutumia Nail buffer or file
 • paka mafuta ya mgando katika ngozi pembeni ya kucha zako, kisha chukua pamba na uingize katika ace tone na weka pamba hizo zikiwa zimeloana na ace tone katika kucha zako
 • kata kipande cha aluminium foil na ufunge kucha yako ambayo umeiweka pamba ili pamba isianguke

 • subiri kwa dakika 25-30
 • ondoa aluminium yako inatakiwa kucha iwe itoke nayo kama bado funga tena acha kwa muda kisha ujaribu tena kutoa

 

Nail Clipper                                                                Acetone                                                      Nail Buffer Or File

 

Namna Ya Pili – Unaweza kuondoa Kucha Bandia Kwa Maji Ya Uvuguvugu

Mahitaji

 • Maji
 • Acetone
 • bakuli mbili

Chemsha maji ya moto au vuguvugu kisha mimina kwenye bakuli, chukua bakuli nyingine ingiza katika bakuli ya maji ya uvugu vugu na umiminie ace tone, ingiza vidole vyako na uviache kwa muda katika bakuli lenye ace tone, kucha zikisha legea unaweza kuanza kuzitoa.

 

 

Related posts

4 Comments

 1. Double Cup 1g Disposable Vape

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondoa-kucha-za-kubandika-fake-nails-mwenyewe/ […]

 2. DMT Vape Pens For Sale Perth

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondoa-kucha-za-kubandika-fake-nails-mwenyewe/ […]

 3. Buy Changa Online

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondoa-kucha-za-kubandika-fake-nails-mwenyewe/ […]

 4. Where in USA can I get magic mushrooms?

  … [Trackback]

  […] There you will find 41668 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondoa-kucha-za-kubandika-fake-nails-mwenyewe/ […]

Comments are closed.