SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NAMNA YA KUONDOA UNJANO KWENYE KUCHA
Dondoo

NAMNA YA KUONDOA UNJANO KWENYE KUCHA 

Hakuna kitu kina tia kinyaa kama kucha chafu, ina wezekana ikawa sio uchafu wa kutoka as kuchukua kijiti na kutoa hii inakuwa kama stain (doa) kwamba haitoki huwa ina tokana na kupaka rangi mara kwa mara, magonjwa au tu bad life style, hizi ni njia nne rahisi zinazo weza kukusaidia kuondoa unjano kwenye kucha zako

 1. apple cider vinegar – kama inavyo onekana kwenye picha, chukua nusu kikombe cha apple cider vinegar weka katika bakuli, chukua na nusu kikombe cha maji ya uvugu vugu mimina kwenye bakuli lenye apple cider vinegar kisha ingiza mikono yako kwa dakika 20, na utoe mikono na kufuta na taulo. Fanya hivi mara tatu kwa siku kwa week 3-4

 

2. Limao– njia nyingine nzuri kusfishia kucha ni kwa kutumia juice ya limao, weka juice ya limao katika bakuli, ingiza mikono yako na kwa dk 5-10 kisha sugua na brush ukisha ridhishwa na utakataji wa kucha osha mikono yako na upake mafuta au lotion yako unayo itumia

3. Limao na Baking soda – changanya nusu kipande cha limao na kijiko cha baking soda weka mikono yako kwa dk 5-10 kisha chukua brush/mswaki na usugue mpaka pale kucha zako zitakapo ng’aa kisha osha mikono na upake mafuta.

4. Dawa ya mswaki – dawa ya mswaki si bora tu katika kusafisha meno lakini pia ina aminika katika kutakatisha kucha, paka dawa ya mswaki katika kucha zako, iache kwa dakika 10-15na chukua brush uzisafishe vizuri kabisa. Utapata matokeo yake papo hapo

Kama utajaribu usisahau kutupa matokeo yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

Related posts

5 Comments

 1. Plantation Shutters

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondoa-unjano-kwenye-kucha/ […]

 2. all slot auto wallet

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondoa-unjano-kwenye-kucha/ […]

 3. pg slot

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondoa-unjano-kwenye-kucha/ […]

 4. see here

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondoa-unjano-kwenye-kucha/ […]

 5. health tests

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondoa-unjano-kwenye-kucha/ […]

Leave a Reply