SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kuondokana Na Sugu Zilizotokana Na Cream Za Kujichubua
Urembo

Namna Ya Kuondokana Na Sugu Zilizotokana Na Cream Za Kujichubua 

Anajulikana kama mbaureloaded lakini jina lake kamili ni Khanyi Mbau Metanoia ni mwanamuziki kutoka South Africa ambae anajulikana kutokana na kujichubua kwake. Amekuwa na kawaida ya kutoa maoni yake kuhusu process hii ya kujichubua na week hii alitumia story yake instagram kuongelea kuhusu Sugu / Weusi unakuwa vidoleni baada ya kutumia cream za kujichubua.

Hili ni janga kwa wengi ambao wanatumia cream hizi tumeshaona watu maarufu mbalimbali wakigeuzwa vichekesho kutokana na rangi zao kutokuwa sawa na vidole vyao au mikono yao, well tumejaribu kuchukua picha kwa namna ambavyo Khanyi alikuwa anaelezea, japo si jibu la ku-solve hili tatizo kwa haraka lakini kama umedhamiria kubadilisha rangi yako kwa miaka basi inaweza kukufaa.

Well alikuwa na mengi ya kusema lakini hivi ni vichache vya muhimu ambavyo tumevichukua, anachoshauri ni kutokupaka cream unayoipaka usoni au mwili kugusa nyuma ya kiganja chako, kila unapopaka cream yako hakikisha unanawa mikono kisha upake hand lotion yako, anasema yes bado mikono yako itakuwa myeusi lakini ni bora ufanye hii process taratibu kuliko kutaka matokeo ya haraka huku una haribu kwingine.

Related posts

6 Comments

  1. one up thc gummies 600mg

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondokana-na-sugu-zilizotokana-na-cream-za-kujichubua/ […]

  2. osymia weight loss pill​

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondokana-na-sugu-zilizotokana-na-cream-za-kujichubua/ […]

  3. Bubble Tea

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondokana-na-sugu-zilizotokana-na-cream-za-kujichubua/ […]

  4. gox scooters

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondokana-na-sugu-zilizotokana-na-cream-za-kujichubua/ […]

  5. click to read

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondokana-na-sugu-zilizotokana-na-cream-za-kujichubua/ […]

  6. เรียนภาษาญี่ปุ่น

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondokana-na-sugu-zilizotokana-na-cream-za-kujichubua/ […]

Comments are closed.