Ikiwa ni mtindo ambao umeingia sana wakati huu, kila mtu ana penda kupaka lipstick za giza au dark lipstick, tumeona ni bora kutoa dondoo chache za vipi unaweza kuipaka ki ubora zaidi kama professional
MAHITAJI
- sukari na asali
- lipstick ya giza (dark lipstic rangi uipendayo)
- pencil ya giza (dark lipstick pencil uipendayo na inayo endana kidogo na lipstick yako)
MAELEKEZO:
Safisha lips za midomo yako na kisha anza kupaka sukari na asali kwa mtindo wa kusugua kwa muda wa dakika moja na kuendelea kisha toa ile sukari ambayo itakua bado haija sugulika au lainika vizuri kwa pamba au mkono bila kuharibu asali na sukari yako. Baada ya hapo chukua dark lipstick pencil yako na uanze kuipaka kufuatisha jinsi ambavyo lips za midomo yako zimekaa, fanya hivyo mpaka utakapo ridhika na rangi uliyo itaka na upake dark lipstick yako kwa juu kama ambavyo inaonekana pichani
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupaka-dark-lipstick/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupaka-dark-lipstick/ […]