SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NAMNA YA KUPANGA DRESSING TABLE
Dondoo

NAMNA YA KUPANGA DRESSING TABLE 

Kupanga dressing table ni kitu ambacho kinatupa stress wengi, hasa unapo kuwa na vitu vingi vidogo vidogo wengi huwa tunapanga tu ili dressing table ipendeze lakini ni vyema tujue jinsi ya kupanga vizuri na kupata nafasi kubwa katika dressing table.

1) kwanza kabisa tunatakiwa kujua zile droo za dressing table sio za kuwekea madaftari wala makoro koro mengine, zile droo zime weka ili uhifadhi vipodozi vyako na kuacha sehemu ya kioo wazi ili upate nafasi ya kujiangalia vizuri.

Lakini pia basi ndo hata kama ivo vipodozi vitakaa kwenye droo haimaanishi uvitupe tupe tu kwa sababu kwenye droo hamna mtu atakae ona jaribu kuweka kila kitu mahala pake ili iwe rahisi kujua nini kipo wapi, ma droo ya juu ni vyema kuweka vile vitu ambavyo una vitumia mara kwa mara pia label droo zako ili upate urahisi ukitaka kutumia vitu vyako.

IMG_1533

2)kama dressing table yako haina droo jaribu kupanga vitu kwa utaratibu, vipodozi, perfumes, lotions na mafuta vikae sehemu yake na vibanio vikae sehemu yake (unapo kua na vitu kama chupio,pini za mitandio ni vyema ukatafuta ki box au chupa na kuviweka humo ili kuepuka usumbufu).

IKEA MALM Dressing Table-Makeup Collection-Skincare Products-Haircare Products-Makeup Storage-UK Beauty Blog

3)Make up bags pia ni muhimu pale unapo kuwa na vitu vingi vikazidia dresing table basi ili kupunguza msongamano ni vyema ukatumia make up bags kuhifadhi make up zako ku punguza msongamano katika dessing table yako.

Ikea MALM dressing table-Ikea Antonius Basket Inserts-Makeup Storage-Dressing Table-Makeup Collection-Makeup Storage Ideas-UK Beauty Blog-Makeup Brush Holders-Muji Acrylic Makeup Storage 6.jpg

4)kuwa mbunifu, angalia dressing table za wengine jaribu kuiga na kuongeza vionjo uvipendavyo muhimu ni kuweka vitu vinavyo endana sehemu moja

aa makeup brushes 1

 

 

 

Related posts

2 Comments

  1. สล็อตวอเลท ไม่มีขั้นต่ำ

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupanga-dressing-table/ […]

  2. all slot auto wallet

    … [Trackback]

    […] Here you can find 6593 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupanga-dressing-table/ […]

Leave a Reply