SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kupata Ngozi Ng’avu Kiasili
Urembo

Namna Ya Kupata Ngozi Ng’avu Kiasili 

Sote tunapenda ngozi ng’avu, lakini hatujui nini cha kutumia tuwe tu wang’avu bila ya kuchubua ngozi zetu, kama ukienda kwenye maduka yavipodozi utasikia wadada wengi wana taka kipodozi cha kuwang’aza lakini kwa bahati mbaya wengi wetu tunakosea hili neno kwa kuwa mweupe, mtu anapo sema anataka kipodozi cha kumg’aza hamaanishi awe mweupe anacho maanisha awe na ngozi yake ile ile ila iwe na nuru, iwe na afya. Kwa bahati mbaya unakuta muuza duka ana kupa cream ya kuwa mweupe lakini unaweza kung’aza ngozi yako nyumbani bila ya kununua vitu dukani ambavyo baadae vinaweza kukuletea madhara

Mahitaji

Mtindi vijiko viwili – ambao hauna radha yaani plain mtindi

Asali- kijiko kimoja

bakuli na kijiko.

Maandalizi

 

Changanya mtindi na asali katika kibakuli mpaka vichanganyike vizuri, osha uso wako kwa maji masafi na upake mchanganyiko huu, kaa nao kwa dakika 15 kisha osha usho wako, unaweza kufanya hivi mara tatu kwa wiki.

 

Related posts

3 Comments

  1. liberty cap mushroom tattoo

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupata-ngozi-ngavu-kiasili/ […]

  2. Anadrol Bestellen

    … [Trackback]

    […] Here you will find 180 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupata-ngozi-ngavu-kiasili/ […]

  3. 늑대닷컴

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupata-ngozi-ngavu-kiasili/ […]

Leave a Reply