SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kupata Ngozi Nyororo Kwa Kuogea Maziwa
Urembo

Namna Ya Kupata Ngozi Nyororo Kwa Kuogea Maziwa 

Siku chache zilizopita mwanadada aliweka wazi kwamba moja kati ya vitu anavyofanya ilikupata ngozi nzuri ni kuogea maziwa, na watu wengi walishikwa na butwaa kwamba unaogeaje maziwa?

Tumeona sio mbaya kama tukiwaletea namna ambavyo unaweza kuogoea maziwa na kupata ngozi nzuri,

Kwanini Maziwa?

Maziwa ya Vitamin A, B, B6, B12, Protein, Potassium , Magnesium , Calcium na nyingine nyingi ambazo zote hizi zinafaida mbalimbali katika ngozi kiwepo

 • Kupunguza makali ya kuzeeka
 • kufanya ngozi kuwa na unyevu
 • Kulinda ngozi kutokana na hurabifu wa jua
 • Kuondoa mikunjo ya ngozi
 • Husaidia kuondoa weusi na kung’aza ngozi

Je maziwa yanatumiwaje Kuogea?

Kuogea maziwa sio kwamba unajaza maziwa ndoo nzima hapana, unachanganya maziwa Gallon 1–3 (3.8–11.4 L) na maji ya moto lakini kama unapenda na unauwezo unaweza kuongeza maziwa zaidi ya hapo, Kama una bathtub unaweza kukaa katika mchanganyiko huo wa maji na maziwa kwa dakika 15-20, ili maziwa yaweze kufanya kazi yake vyema

 • Ukisha maliza kuogea maziwa hakikisha unajisuuza kwa maji safi vinginevyo utanukia maziwa siku nzima.

Kuna namna tofauti tofauti na vitu vingine ambavyo unaweza kuongeza katika uogaji huu wa maziwa, kama

Papai, Asali na Maziwa

 • Saga kikombe kimoja cha papai,
 • Kijiko kimoja cha asali
 • maziwa vikombe viwili

Changanya kwa pamoja weka kwenye maji kisha ogea hii itasaidia kung’arisha ngozi yako

Maziwa Na Limao

 • Juisi ya limao moja
 • vikombe viwili vya maziwa

Changanya maziwa na limao katika maji yako kisha ogea, ukimaliza hakikisha unajisuuza na maji masafi. hii inasaidia kufanya ngozi kuwa ng’avu na nyororo

Related posts

6 Comments

 1. Buy One Up Mushroom 1/8 Cans online

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupata-ngozi-nyororo-kwa-kuogea-maziwa/ […]

 2. Buy DMT Vape Pen and Cartridges Brisbane

  … [Trackback]

  […] Here you can find 19573 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupata-ngozi-nyororo-kwa-kuogea-maziwa/ […]

 3. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupata-ngozi-nyororo-kwa-kuogea-maziwa/ […]

 4. Saxenda without prescription

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupata-ngozi-nyororo-kwa-kuogea-maziwa/ […]

 5. 티비위키

  … [Trackback]

  […] There you can find 98575 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupata-ngozi-nyororo-kwa-kuogea-maziwa/ […]

 6. fryd flavors

  … [Trackback]

  […] There you will find 63612 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupata-ngozi-nyororo-kwa-kuogea-maziwa/ […]

Comments are closed.