SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kupata Ngozi Nzuri Baada Ya Kujifungua
Urembo

Namna Ya Kupata Ngozi Nzuri Baada Ya Kujifungua 

Kuna wale ambao huwa ni God’s last born huwa wana glow wakiwa wajawazito na baada ya kujifungua lakini kunawale ambao ni watoto wa kambo wana patwa na mabadiliko ya homoni ambayo yanaweza kusababisha uharibifu wa ngozi ambao unaweza kuhitaji uangalizi wa karibu pamoja na kufanya mabadiliko ya mtindo wa maisha

Hizi ni njia nne za kupata ngozi nzuri baada ya ujauzito

Kunywa maji mengi

maji ya kunywa ni kipengele ambachu husahaulika zaidi, lakini muhimu zaidi katika kudumisha ngozi nzuri. Kimatibabu, maji huweka ini katika hali nzuri baada ya ujauzito. Mtu anatarajiwa kunywa angalau glasi 8-10 za maji kila siku ili kudumisha afya ya ngozi. Kazi ya maji ni kulainisha ngozi ndani, kusaidia ngozi kuhifadhi elasticity na mng’ao

Skincare Routine

Dead skin, rangi isiyokuwa na uwiano au dull skin na chunusi ni kawaida baada ya ujauzito. Ni muhimu kwamba mtu aanze skincare routine, kwa hivyo usisahau kusafisha, tone na ku-moisturizer uso wako.

Pumzika iwezekanavyo

unapolala, mwili wako una-rejuvenates itself. Pia ndiyo sababu huwa tunatumia bidhaa zetu nyingi za utunzaji wa ngozi wakati wa usiku tunapolala. Mtoto kuamka mara kwa mara katikati ya usiku kunaweza kuathiri kiasi cha usingizi unaopata. Inashauriwa kupumzika na kulala wakati mtoto pia ame pumzika.

Jiweke safi kila wakati

usafi ni muhimu sana wakati wote unapomshika mtoto. Post-pregnancy dutie, hata hivyo, hii inaweza kuathiri usafi wako. Jambo muhimu zaidi ni kuhakikisha kuwa umeoga na kubadilisha nguo zako kila siku.

Related posts