Home remedy hii asili yake ni Jamaica. Kama wataka ngozi ya mwili yenye rangi moja, hii ni kwa ajili yako.
Mahitaji
- Vijiko 3 vya mafuta ya nazi ya uvuguvugu
- Juisi ya zabibu nusu
- Kikombe kimoja cha sukari ya brown

Muda wa kuandaa : Dakika 2
Maelekezo.
1. Weka mahitaji yote kwenye bakuli kubwa na safi
2. Changanya vizuri
3. Ukiwa unaoga, paka scrub yako mwilini tu na usugue taratibu kwa kuzunguka eneo husika.
4. Osha
Hii inaondoa Weusi Weusi katika maeneo ya mwili. Kati Kati ya mapaja Weusi kwenye kwapa Na Kama unapenda uwe na rangi moja mwilini.
Tumia Kwa wiki Mara 2.
Kwa nini inafanya kazi.
- Zabibu zina anti oxidant inalinda ngozi kupata free radicals na hivyo inaondoa madoa meusi.
- Mafuta ya Nazi yanafaa kwa ngozi kukupa mng’ao na Ngozi nyororo. Yana virutubisho muhimu Ambazo zinanawirisha ngozi.
- Sukari ya Brown ni laini ukilinganisha na chumvi. Vipande vidogo vidogo vilivyopo vina Ondoa ngozi iliyokufa na kukuacha na mng’ao asili. Baada ya kutumia hii ule mng’ao wako wote utarudi katika nafasi Yake.
- Fanya Mara mbili kwa wiki hadi uone matokeo.
Tahadhari
- Usitumie usoni. Ngozi ya uso ni laini Sana ukilinganisha na mwilini hivyo mchanganyiko huu ni kwa ajili ya Ngozi yako ya mwili tu.
- Kama una rangi tofauti tofauti mwilini kwa sababu ya kujichubua na kutumia vipodozi vyenye kemikali na viambata sumu, utachelewa kuona matokeo zaidi kuwa mvumilivu!
Kama hujaanza kutumia, Anza Sasa!
Mshirikishe na umpendae.
©binturembo
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupata-rangi-moja-mwilini-kwa-kutumia-vitu-vya-asili/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupata-rangi-moja-mwilini-kwa-kutumia-vitu-vya-asili/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupata-rangi-moja-mwilini-kwa-kutumia-vitu-vya-asili/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupata-rangi-moja-mwilini-kwa-kutumia-vitu-vya-asili/ […]