SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kupunguza Weusi Kwapani
Urembo

Namna Ya Kupunguza Weusi Kwapani 

Kuna vitu ambavyo vinaweza kukufanya uwe na insecurities lakini kumbe ni vya kawaida, moja kati ya vitu hivyo ni kuwa na weusi kwapani, weusi kwapani unatokana na vitu vingi, kama kutumia wembe wakati wa kunyoa, msuguano wakati kwapa limefunikwa, diet mbaya lakini pia kuna part za miili yetu zina overproduces a pigment called melanin.

Well leo tunakuletea tips chache ambazo zinaweza kukusaidia kupunguza weusi kwapani

  • Tumia Natural Deodorant

Hold your horses kupaka deodorant si kitu kibaya lakini pia kuna deodorant ambazo zina kemikali kali zinazoweza kusababisha makwapa yazidi kuwa meusi, tumia deodorant ambazo zina less chemicals au zile ambazo zimetengenezwa na vitu vya asili, ni ngumu kuzipata lakini zinasaidia sana.

  • Tumia Waxing

Badala ya kutumia viwembe ku-shave badilisha na badala yake anza kufanya waxing, hii inasaida kwasababu ukifanya waxing nywele zinachelewa kuota na hata zikiota hazirudi kuwa ngumu zaidi ya mwanzo au kupata ingrowing hair, kujikuna na kufanya ngozi yako isiwe nyeusi.

  • Exfoliate

Hakikisha una exfoliate makwapa yako kama ambavyo unafanya usoni au mwilini, unaweza ku-exfoliate kila week au kama ni ngumu basi mara moja kila baada ya week mbili na utapata matokeo mazuri.

  • Consider Kuvaa Loose Fitting / Chagua Material Nzuri

Kama unapenda mavazi ya kubana jaribu kupunguza kuvaa mavazi haya yenye pia yanaweza kusababisha weusi makwapani, makwapa pia yanahitaji hewa so let it loose from time to time na vaa materials ambazo zina ruhusu hewa kuingia.

Namna Ya Kuondoa Weusi Sehemu Zilizojificha

Namna Ya Kupata Rangi Moja Mwilini Kwa Kutumia Vitu Vya AsiliĀ 

Related posts