SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kutumia Bia (Beer) Kupata Nywele Laini Na Zenye Afya
Urembo

Namna Ya Kutumia Bia (Beer) Kupata Nywele Laini Na Zenye Afya 

Seems like bia sio tu katika afya lakini pia inafaida katika urembo katika nywele na ngozi, wakati wengine wakipenda kuinywa ili kujifurahisha na marafiki zao na wengine husema zinapoteza mawazo, sisi wengine tunatumia kilevi hiki katika kupata laini na zenye afya.

2009 actress  Catherine Zeta ali-reveal home remedy yake ya kutumia beer na asali katika nywele zake, toka hapo beauty experts na bloggers mbalimbali wamekuwa wakitumia remedy hii, lakini pia makampuni mbalimbali yamekuwa yakitumia beer kama ingredient moja wapo katika bidhaa zao na kusema kuwa ina saidia kuboresha ubora wa nywele,kuzifanya ziwe laini lakini pia kuonekana/kuwa na afya.

Unawezaje kutumia beer katika nywele?

  • Chukua chupa ya bia yako fungua na umimine bia katika bakuli au jug, kisha liache bakuli lililp na beer wazi kwa muda mpaka gas ya bia itakapo pungua au kuisha kabisa na kubaki flat, hakikisha unatoa gas ya bia kwa maana ukiiacha ukija kuichanganya na maji husababisha maji kubadilika kuwa maji magumu ambayo yataleta shida katika uoshaji wa nywele.

  • Tumia shampoo yako ya kawaida kuosha nywele zako na baada ya kuosha, badala ya kutumia conditioner chukua ile bia ambayo uliiacha gas ikasha na uimimine bia hii moja kwa moja kwenye nywele zako, ukisha hakikisha umemimina ya kutosha anza kumassage mizizi ya nywele zako taratibu kwa dakika moja, Inasemekana madini ya bia yanafaa katika ngozi ya kichwa  chako, husaidia kuiacha ngozi ikiwa nyevu na mafuta. Iache bia ikae kwa dakika chache
  • Osha nywele zako na maji baridi. Usijali kama baadhi ya bia itasalia kwenye kichwa chako, kwa kuwa inamanufaa katika nywele, tumia remedy hii mara moja au mbili kwa week matumizi mengi ya bia kwenye nywele zako inaweza kusababisha ngozi kuwa kavu na kupata mba.

Tip: Ili kupata ubora zaidi katika mask yako ya bia unaweza kuongeza vitu vingine vya asili ambavyo vinafaida katika nywele kama, yai, asali,apple cider vinega,lakini pia unaweza kuongezea essential oils kama

  • Lemon oil: It strengthens hair, adds shine, and fights against dandruff.
  • Almond oil: It moisturizes and soothes the scalp.
  • Chamomile oil: It adds shine and softens hair.
  • Jojoba oil: It adds nutrients to hair and moisturizes the scalp.
  • Lavender oil: It acts as a deep conditioner that moisturizes, nourishes and adds antioxidants to hair
  • Sandalwood oil: It helps with dry or split ends.

 

Related posts

7 Comments

  1. เรียนถ่ายรูป

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kutumia-bia-beer-kupata-nywele-laini-na-zenye-afya/ […]

  2. 다시보기

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kutumia-bia-beer-kupata-nywele-laini-na-zenye-afya/ […]

  3. 늑대닷컴

    … [Trackback]

    […] Here you will find 40917 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kutumia-bia-beer-kupata-nywele-laini-na-zenye-afya/ […]

  4. cloned credit cards for sale​

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kutumia-bia-beer-kupata-nywele-laini-na-zenye-afya/ […]

  5. unicc

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kutumia-bia-beer-kupata-nywele-laini-na-zenye-afya/ […]

  6. superkaya 88

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kutumia-bia-beer-kupata-nywele-laini-na-zenye-afya/ […]

  7. 뉴토끼

    … [Trackback]

    […] Here you can find 37553 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kutumia-bia-beer-kupata-nywele-laini-na-zenye-afya/ […]

Comments are closed.