SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NAMNA YA KUTUMIA HENNA (HINNA) KWA UKUAJI WA NYWELE
Hair

NAMNA YA KUTUMIA HENNA (HINNA) KWA UKUAJI WA NYWELE 

Leo katika  urembo tungependa kuangalia katika utunzaji wa nywele bila ya kujihusisha na matumizi ya madawa ya kemikali ambayo yamesababisha kwa kiwango kikubwa matatizo katika ukuaji wa nywele kama nywele kukatika,kunyonyoka,kupooza katika ukuaji n.k

Hina ni moja kati ya mimea ambayo watu wengi hasa wanawake huitumia katika kujiremba hasa kujichora maungoni bila kutambua kuwa mmea huo huweza kusaidia katika utunzaji wa nywele zao pia kwa kiasi kikubwa.

maandalizi ya Hina.

 MAHITAJI:-

 • Hina vijiko vitatu vya chakula.
 •  Kipande cha ndimu au limao.
 • Maji ya chai kiasi kidogo.
 • Glavu mbili mpya.

NAMNA YA KUFANYA:- 

 • Vaa glavu ili mikono yako isiharibiwe na hina.
 • Changanya hina na viungo vyake hakikisha haiwi nyepesi sana wala nzito sana.
 • Gawa nywele zako katika mafungu manne,kisha paka hina yako kwa uangalifu ili isichafue uso  wako.

 • Hakikisha unakaa nayo kwa muda usiopungua lisaa limoja.
 • Zikiwa tayari,hakikisha unaosha vizuri na kukausha nywele zako kwa taulo lililo safi.

Unaweza kuziweka nywele zako katika mtindo wowote baada ya kupaka Mafuta.

Related posts

4 Comments

 1. Visit Website

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kutumia-henna-hinna-kwa-ukuaji-wa-nywele/ […]

 2. Buy Psychedelics Victoria

  … [Trackback]

  […] Here you can find 44671 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kutumia-henna-hinna-kwa-ukuaji-wa-nywele/ […]

 3. buy benelli guns

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kutumia-henna-hinna-kwa-ukuaji-wa-nywele/ […]

 4. buy ayahuasca tea online europe,

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-ya-kutumia-henna-hinna-kwa-ukuaji-wa-nywele/ […]

Leave a Reply