SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NAMNA ZA  KUVAA HAUTE COUTURE HERENI
Dondoo

NAMNA ZA KUVAA HAUTE COUTURE HERENI 

Haute Couture Jewelry ni yale mapambo ambayo hubuniwa na wabunifu kwa ubunifu wa hali ya juu, si lazima ziwe designer hearings ndio ziwe haute hapana zina weza zikawa za kawaida tu lakini ni kubwa vya kutosha ku make a statement.

Kama unazo na zime kaa tu ndani hujui uzivaaje hii ni baadhi ya miongozo inayo weza kukusaidia

Matching Them na Outfit yako

Ni vizuri ukatafuta shade moja ya rangi iliyopo katika hereni zako uka match na nguo zako, japo jaribu kuto kuonekana ume vaa rangi moja too much.

Vaa seti nzima ya haute couture jewel yako

Hii itakupunguzia muda wa kutafuta u pair hereni zako na nguo ya rangi gani, una weza kuvaa seti nzima ya haute couture jewel zako zika math zenyewe kwa zenyewe lakini hakikisha pia nguo yako inakuwa sio colorful sana

opt kwa bold colored gemstone hearings kama una vaa neutral color outfits

kuvaa neutral color outfit kuna weza kuwa boring ili ku spicy up mtoko wako vaa colored gemstone hearings kuchangamsha mtoko wako

Haute couture hearings si lazima ziwe za rangi rangi

Kuna Haute couture hearings za silver na gold pia zina weza kuvaliwa ku spicy up mtoko wako hizi zina faa sana katika casual outfits, red carpet kama ume vaa vazi la rangi rangi na night wear.

Tuna dhani next time ukitaka kuvaa hereni zako hizi utakumbuka tips hizi, kutupa maoni yako wasiliana nasi kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – adroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

3 Comments

  1. wavy bar chocolates

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-za-kuvaa-haute-couture-hereni/ […]

  2. pay off debt

    … [Trackback]

    […] Here you can find 90233 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-za-kuvaa-haute-couture-hereni/ […]

  3. Fysio Dinxperlo

    … [Trackback]

    […] Here you will find 91282 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/namna-za-kuvaa-haute-couture-hereni/ […]

Leave a Reply