SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nancy E Isime Flaunting Her Dollar Nails
Habari

Nancy E Isime Flaunting Her Dollar Nails 

Dollar On Her Nails, Dollar On Her Nails In Riri’s Voice, TV host Nancy E Isime ambae ametimiza miaka 30 hivi karibuni ametudhihilishia kwamba yeye ni that rich auntie kwa kutumia $20 kama urembo kwenye kucha zake, $20 ni sawa na tsh 46,280.

Nancy si wa kwanza kuweka kucha za aina hii, tumemuona Rihanna na Kylie Jenner wakiwa kwenye style hii ya kucha pia.

Tupe maoni yako je unaweza kujaribu aina hii ya kucha?

Related posts