Makeup zinaweza kutumika kwa mambo mbalimbali na shughuli mbalimbali, ukiachana na kuwa inaboresha zaidi uzuri wako makeup inaweza kutumika kuficha vitu mbalimbali ikiwepo makovu na chunusi. Kwenye sherehe nyingi makeup imeonekana kutumiwa ili kuongeza uzuri kwa mgeni mualikwa au muhusika mwenyewe.
Leo tunaangalia makeup looks ambazo alipaka Faustina a.k.a Nandy katika sherehe zake ikiwepo kibaokata, kitchen party, sendoff na siku husika ambayo ni harusi. Kwanza tuseme makeup artist wake ambae ni Glory Lasway alifanya kazi nzuri sana, Nandy alikuwa na week ambayo iko busy lakini makeup zilitulia na hazikumomonyoka hata kutokana na hekaheka alizokuwa nazo bi harusi.
Kibaokata Look
alikuwa na perfect eye brows, a perfect eye liner ambayo ilienda sambamba na shimmer eye shadow na wakamalizia muonekano na glossy ombre lipstick.
Hair @leluuhouseofbeauty
Mua @glorylasway
Nails @mtoto_iddy_nails


Kitchen Party Look
Kitchen part alikua na more of relaxing look, eye brows on point, eye liner imenyooka, perfect eye lashes wamemalizia muonekano na matte ombre lipstick and look at that highligher.


Send Off Look
Send Off ilikuwa alot of glamour, the matching eye shadow na lipstick extra vaganz eye lashes and the brow’s were perfect per usual.


Wedding Look
Wedding ilikuwa na nude ombre lipstick, Gradient eyeshadow tunaweza kusema linapokuja swala la eyeliner na eye brows Glory anajua anacho kifanya.


Haya tuambie makeup look gani iliyokuvutia zaidi?
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/nandys-makeup-looks-from-kibaokata-to-the-wedding/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/nandys-makeup-looks-from-kibaokata-to-the-wedding/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 74158 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/nandys-makeup-looks-from-kibaokata-to-the-wedding/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 36051 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/nandys-makeup-looks-from-kibaokata-to-the-wedding/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 42457 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/nandys-makeup-looks-from-kibaokata-to-the-wedding/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 20892 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/nandys-makeup-looks-from-kibaokata-to-the-wedding/ […]