SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NANI NI HAIR STYLIST WA TEKNO MILES
Hair

NANI NI HAIR STYLIST WA TEKNO MILES 

Augustine Miles Kelechi  wengi tunamjua kama Tekno Miles au Tekno ni msanii wa muziki ambae ana tokea Nigeria, ana nyimbo kadhaa ambazo zime hit kama Duro, Pana, Wash na sasa ana wimbo mpya uitwao Diana. Tekno ni moja kati ya wasanii ambao wana vuruga akili yetu kutokana na style zake za nywele, mara kadhaa amekuwa akituwacha mdomo wazi kwa style zake hizo.. hii ikatupelekea kujiuliza nani ni stylist wa nywele zake na ana wazaga nini? hizi ni kadhaa ambazo zilituweka katika alama ya mshangao

Hii ni common hair style yake ambayo ana nyoa pembeni ana acha katikati na kuweka kichuguu

13694486_1259675247399527_50420453_n

hapa akiwa ame weka hair style hio hio lakini ame badilisha rangi ya nywele 14033010_1857789027773164_1554900166_n

hapa kichuguu kilikua bado hakija kua vizuri14718190_1793961637541747_3212315158617522176_n

ipe jina hii

14733194_1766173846983107_6492814950283608064_n

hapa akiwa ame nyoa upara upande mmoja na mmoja kukiwa na nywele kidogo kisha ame weka way katikati, jiulize hii style kinyozi wake  aliwaza nini 15099396_1690004524623889_8066637833944694784_n

tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts