Make up artist wa Serena Williams Ana Hitaji kurudi shule kusomea jinsi ya kupaka wanja, maana ana mtenda vibaya Serena una weza kumsamehe mtu kwa nguo kuchanika au kutokea vibaya lakini sio kwa eye brows, ni sehemu ambayo ina weza kukukosesha marks zote katika muonekano wa make up au sura yako,

SELENA

Serena Eye Brows are not on fleek kabisa, hatujui ana mpaka nini na kwanini Serena ana kubali kupakwa hivoStars-spotted-front-row-and-on-the-red-carpet-at-the-Serena-Williams-Signature-Statement-Collection

Comments

comments