SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NATURAL REMEDIES ZA KUONDOA NYWELE NYEUPE (MVI)
Hair

NATURAL REMEDIES ZA KUONDOA NYWELE NYEUPE (MVI) 

Mvi au nywele nyeupe ni ndoto mbaya ya kila mtu wote wanawake na wanaume (kila mtu ana taka kuonekana kijana, mjini kila mtu baby) hakuna ambae ana taka kuonekana na mvi kwa sababu imani yetu mvi huwapata wazee lakini mvi huweza kumpata yoyota pale tu melanocytes around the hair follicle reduces the amount of melanin it produces (or stops completely).

Tuone namna ambavyo una weza kuondoa nywele nyeusi natural bila kutumia madawa

Majani ya chai meusi ( yale ya kawaida ya chai si green tea)

12330777_f520

Hii ni njia rahisi na una hitaji vitu viwili tu

  • Majani ya chai
  • Maji

chemsha maji na majani ya chai kwa muda kisha yatoe na uyapooze, jimwagie maji hayo katika nywele kaa nayo kwa muda wa lisaa limoja una weza kuongeza hata masaa mawili, kisha osha na maji. USIPAKE SHAMPOO. fanya hivi mara 2 hadi 3 kwa week.

Juisi ya Limao na Mafuta ya Nazi

12330779_f520

Hivi unavyo jikoni kwako kwaio una weza kufanya mara nyingi uwezavyo una hitaji

  • Juisi ya limao vijiko vitatu
  • mafuta ya nazi yanayo tosha kulowanisha nywele zako

changanya mafuta ya nazi na juisi ya limao, pakaa kichwani kaa nayo kwa muda wa lisaa limoja na uoshe kwa mild shampoo au sabuni

Mafuta ya Nazi na Henna (hina)

coconut5

Chukua mafuta ya nazi na majani ya henna vichemshe kwa pamoja kisha chuja na tumia mafuta haya katika nywele zako kila siku mpaka utakapo pata mabadiliko.

 

Related posts