SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Ndizi Inavyo Weza Kukusaidia Katika Ngozi Na Nywele
Dondoo

Ndizi Inavyo Weza Kukusaidia Katika Ngozi Na Nywele 

Ndizi ni tunda tamu sana ambalo wengi huwa tunapendela kulila na hakula, zina msaada katika mwili na magonjwa mbalimbali zinasifika kwa kuwa na wingi wa  B6, copper, manganese, potassium, vitamin C, and biotin. Lakini sifa za ndizi haziishii kwenye utamu tu lakini pia msaada wake katika urembo wa ngozi na nywele.

 • Faida Ya Ndizi Katika Ngozi Na Kuondoa Chunusi

Mahitaji 

 • Ndizi – Moja
 • Manjano – Nusu Kijiko

Namna Ya Kuandaa 

Mara moja kwa week jaribu hii treatment mara moja kwa week, pondaponda ndizi iwe kama uji kisha changanya ndizi na manjano yako. Paka katika eneo lenye tatizo (chunusi) au uso mzima acha mchanganyiko huu kwa dakika 10-15 na kisha uoshe kwa maji safi.

 • Ndizi Kwa Ajili Ya Nywele 

Mahitaji

 • ndizi – 1
 • mafuta ya nazi – kijiko kimoja
 • olive oil – kijiko kimoja
 • asali – kijiko kimoja

Namna Ya Kuandaa 

Ndizi husaidia kuponya split ends ( Ncha ) na kuzifanya ziwe na uzito sawa na nywele za chini lakini pia husaidia ukuaji wa nywele, unacho takiwa kufanya ni kupondaponda ndizi upate uji kisha changanya mafuta yako na asali katika uji huo wa ndizi. Paka katika nywele kisha funga nywele na mfuko au hair cap, japo sio lazima acha mchanganyiko huo kwa dakika 10-15 kisha chana nywele zako taratibu na kwa uangalifu osha vizuri hakikisha umetoa mafuta yote.  Fanya hivi mara mbili kwa mwezi.

As usual ukijaribu hii tip usisite kutupa matokeo.

Related posts

3 Comments

 1. navigate here

  … [Trackback]

  […] There you will find 63335 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/ndizi-inavyo-weza-kukusaidia-katika-ngozi-na-nywele/ […]

 2. magic bars mushrooms

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/ndizi-inavyo-weza-kukusaidia-katika-ngozi-na-nywele/ […]

 3. Magic Mushrooms Blue

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/ndizi-inavyo-weza-kukusaidia-katika-ngozi-na-nywele/ […]

Comments are closed.