SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NDIZI NA MCHANGO WAKE KATIKA UREMBO
Skin Care

NDIZI NA MCHANGO WAKE KATIKA UREMBO 

TOFAUTI na matunda mengine, ndizi zinafaida kubwa sana katika mwili wa binadamu. Kwa mujibu wa wataalamu wa lishe, ndizi zina virutubisho vya aina mbalimbali kama vile, protini, mafuta, kalishiamu, wanga, fosiforas, madini ya chuma, vitamin A,B,C na maji.

Ndizi zina faida zipi katika urembo? Chanzo cha nishati Ndizi zina uwezo wa kumeng’enywa kwa urahisi zaidi, tena zina nishati kubwa, sukari iliyomo katika ndizi ni chanzo kizuri sana cha nishati.Hivyo naweza kusema kuwa ndizi ikiliwa ipasavyo itakusaidia kujenga mwili na misuli yako kwa ujumla. Husaidia kuondoa chunusi Chunusi ni miongoni mwa matatizo ambayo huwasumbua warembo wengi hususan wanawake.Je, unafahamu kuwa ndizi mbivu zinaweza kukuondolea tatizo hilo? Kwa kuchanganya ndizi mbivu na maziwa na asali na kisha kuzisaga ili kupata urojo ambao utatumia kupaka kwenye maeneo yaliyoathirika, unaweza kuondokana kabisa na tatizo hilo.

pisang susu madu

 

Fanya hivyo kila siku na hakikisha unakaa na mchanganyiko huo kwa muda usiopungua dakika 30 hadi 40, kisha osha na maji ya baridi ikiwezekana yaliyopozwa na jokofu.

Ndizi katika ‘diet’ Ndizi zina nafasi kubwa sana kati kuongeza au kupunguza uzito, hivyo unaweza kutumia ikiwa unahitaji kupunguza ama kuongeza uzito wako.

 

Related posts

6 Comments

  1. my site

    … [Trackback]

    […] There you will find 50329 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/ndizi-na-mchango-wake-katika-urembo/ […]

  2. letterboxd.com

    … [Trackback]

    […] There you can find 16808 additional Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/ndizi-na-mchango-wake-katika-urembo/ […]

  3. Aurora-weed.com

    … [Trackback]

    […] Here you can find 44202 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/ndizi-na-mchango-wake-katika-urembo/ […]

  4. 신용카드

    … [Trackback]

    […] There you can find 76659 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/ndizi-na-mchango-wake-katika-urembo/ […]

  5. psycedelic mushroom spores australia​

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/ndizi-na-mchango-wake-katika-urembo/ […]

  6. ประกันรถยนต์ 2+

    … [Trackback]

    […] There you will find 69743 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/ndizi-na-mchango-wake-katika-urembo/ […]

Leave a Reply