Wote ni ma stylist na wanajua kwenda na wakati, ukiongelea nywele basi utajua kwa sasa wolper ana tisha sana sekta hio, leo wapo kwenye kikaango Wolper na Nenee ambao wote wame onekana kusukia nywele ya aina moja kasoro rangi tu
hii nywele ameonekana nayo sana Beyonce ni kama hair style ya rasta anayo ipenda zaidi, una sukia yebo yebo za size ya kati una zilaza upande mmoja kama Beyo hapo chini
Nenee ameonekana kusukia style hii kwa rasta rangi nyeusi huku pembeni akiwa ame kata kabisa nywele
wakati Wolper yeye alisukia style hii kwa rasta za zahabu nae pia ame kata nywele upande mmoja
je nani kapendeza zaidi na hii style kati ya wawili hawa? tupe maoni yako kupitia kurasa zetu za
Instagram – afroswagga
Twitter – Afroswaggatz
Facebook – AfroSwagga
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 548 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/nenee-blackchyna-vs-jacqueline-wolper/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/nenee-blackchyna-vs-jacqueline-wolper/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/nenee-blackchyna-vs-jacqueline-wolper/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 17982 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/nenee-blackchyna-vs-jacqueline-wolper/ […]