SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NEW LIPSTICK LINE KUTOKA KWA HUDDAH MONROE
Urembo

NEW LIPSTICK LINE KUTOKA KWA HUDDAH MONROE 

Huddah si jina geni kwa wengi wetu ni socialite kutoka Kenya, Huddah ame post Lipstick zenye jina lake na ku introduce kama ni bidhaa yake mpya anayo kuja nayo. Well Huddah ana clothing line yake, ana closet zake so hatuto shangaa sana kama ata kuja na lipstick pia.

13768395_1246191192071955_1789807577_n

mpaka sasa tuna majina mawili ya Lipstick hizo kama “KING JAZMINE”  na “VAMPIRE RED”

Japo ndio kwanza kaitangaza bidhaa yake watu wamesha anza kusema ana m copy Kylie Jenner

KYLI-JENNER-LIP-KIT-DUPES-MAIN

 

…. Well maneno hayaishi midomoni mwa watu HONGERA HUDDAH.

 

Related posts

Leave a Reply