SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NG’ARISHA KUCHA ZAKO BILA KUTUMIA RANGI YA KUCHA
Urembo

NG’ARISHA KUCHA ZAKO BILA KUTUMIA RANGI YA KUCHA 

Ikiwa mwezi huu tume udedicate katika kujua maswala yanayo endana na mwezi Mtukufu, tume tambua watu wengi wana pata shida na kucha zao.  ambapo wengi kutokana na mazoea ya kupaka rangi za kucha hivyo huamua kupaka henna jambo ambalo si baya hata kidogo. Lakini kwa wale ambao henna hawaziwezi basi wana weza kufanya yafuatayo kuzipa kucha zao mng’ao bila hata ya kupaka rangi.

Loweka kucha katika maji vuguvugu.

salt_solution

Wakati unahitaji vidole vyako na kuang’aa bila ya kupaka rangi , unahitaji mara kwa mara kuloweka vidole vyako  katika maji vuguvugu. Kwa nini? maji vuguvugu husaidia kuboresha kucha na kuondosha rangi za kucha. Kwa una wezakutumia sabuni ya asili na scrub ya kucha kusafisha kucha zako.

Sugua kucha na vipande limao .

Lemon-nails

kama wewe ni mpenzi wa kupaka rangi za kucha mara kwa mara basi ni lazima utakua na kucha za njano, ili kuweza kuwa na kucha ang’avu jaribu kusugua kucha zako na kipande cha limao mara kwa mara. unaweza pia kutengeneza dawa hii nyumbani changanya kijiko kimoja cha baking soda, 1 kijiko cha limao na kijiko kimoja cha olive oil mpaka vichanganyike vizuri na sugua katika kucha zako kisha osha kwa maji masafi. Hii itazipa kucha zako afya,ung’avu na nguvu.

Tumia kisugulio cha kucha

index

hiki karibu kila mwana mama na msichana anacho sugulia kucha zako zioshe kisha paka mafuta yoyote unayo yatumia utapata mg’ao katika kucha zako.

Related posts

5 Comments

 1. published here

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/ngarisha-kucha-zako-bila-kutumia-rangi-ya-kucha/ […]

 2. click to investigate

  … [Trackback]

  […] There you will find 942 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/ngarisha-kucha-zako-bila-kutumia-rangi-ya-kucha/ […]

 3. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/ngarisha-kucha-zako-bila-kutumia-rangi-ya-kucha/ […]

 4. quick pickled mushrooms

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/ngarisha-kucha-zako-bila-kutumia-rangi-ya-kucha/ […]

 5. Tropicana cherry https://exotichousedispensary.com/product/tropicana-cherry/

  … [Trackback]

  […] Here you can find 63530 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/ngarisha-kucha-zako-bila-kutumia-rangi-ya-kucha/ […]

Leave a Reply