SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Ni Muda Gani Usubiri Kupaka Makeup Baada Ya Kupaka Skin Care?
Urembo

Ni Muda Gani Usubiri Kupaka Makeup Baada Ya Kupaka Skin Care? 

Kuwa na skin care routine is no joke, hasa pale ambapo ni mfanyakazi unahitaji kuamka mapema na hata kama umechoka usiku inabidi usipande kitandani mpaka uhakikishe umepaka night skincare yako.

Sasa kuna kile kipengele cha asubuhi unataka kuwahi kwenye mihangaiko yako na unatakiwa upake skincare na makeup ili ukitoka uonekane putted together lakini huku unalinda ngozi yako kwa ndani.

Lakini je wajua ni muda gani unahitaji kusubiri kupaka makeup baaada ya kupaka skincare yako? Kama ulikuwa hujui basi leo tunakujuza unahitaji kusubiri dakika 15-20 minutes baada ya kupaka skincare ndio upake makeup yako ili kuvipa muda vipodozi vyako kufanya kazi vyema. Kwaio add xtra 15-20 minutes katika kuamka kwako ili ufanye skincare yako ifanyekazi vyema.

Related posts

1 Comment

  1. แทงบอลออนไลน์ 911

    … [Trackback]

    […] Here you can find 58505 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/ni-muda-gani-usubiri-kupaka-makeup-baada-ya-kupaka-skin-care/ […]

Comments are closed.