Rapper Nicki Minaj ame debut new hair style, hii hair style ameitumia katika video ya wimbo mpya alio shirikishwa na Migos huku mwanadada Cardi B akiwepo pia unaoitwa motorsport, well no beef. Nicki ameonekana akiwa amesukia rasta za pink ndefu mpaka miguu (it might be a wig)
The braids are ombre juu pink imekoza chini ni light pink, hair style inaitwa formation tour braids, ni moja ya style ambazo alizisuka Beyonce katika tour yake ya Formation mwaka huu na ikapendwa sana, Nicki yeye ameongezea urefu na rangi tofauti.
katika video Nicki amevaa iron body suit na clear boots, watu wanamuita robot sophia anae tamani kuwa na mtoto but she looked good, kama sio wig unadhani ametumia bunda (bundles) ngapi kusukia? na imechukua muda gani? would you dare kusuka hivi?
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 16297 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/nicki-minaj-asukia-rasta-ndefu-sawa-na-urefu-wake/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 81244 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/nicki-minaj-asukia-rasta-ndefu-sawa-na-urefu-wake/ […]